RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA ZIMBWABWE NA KUSHIRIKI DHIFA YA KITAIFA ILIYOFANYIKA IKULU JIJINI HARARE.







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya picha Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa inayoonyesha baadhi ya Wanyama waliopo katika Hifadhi mbalimbali za Wanyama Tanzania pamoja kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Harare Zimbabwe. Mei 28, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa kwa Dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa Ikulu ya Harare nchini Zimbabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa Dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa Ikulu ya Harare nchini Zimbabwe. Mei 28, 2019.

Comments

Popular posts from this blog

JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI