MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KILICHOANDALIWA NA RAIS WA NIGER




SM 5-01
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na
 Rais Mahamdou Issoufou Niger, kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja 
wa Afrika (AU)
SM 1-01
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Felix Tshisekedi wa Congo kwenye 
hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou wa Niger
SM 2-01
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiingia kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni kilichoandaliwa
 na Rais Mahamdou Issoufou Niger, kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa 
Umoja wa Afrika (AU)
SM 3-01
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Emmarson Mnangagwa wa Zimbabwe
 kwenye Hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou  Niger, 
kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)
SM 4-01
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais Emmarson Mnangagwa wa Zimbabwe
 kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou Niger, kwenye 
mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)
SM 6-01
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania
 aliouongoza kushiriki mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU)
uliojadili kuhusu Eneo Huru la Biashara Afrika

Comments

Popular posts from this blog

JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI