Rais Dk.Hussein Mwinyi amewaapisha Mawaziri aliowateua Ikulu Zanzibar.


  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Haroun Ali Suleiman kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya  Rais, Katiba Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huuRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Haroun Ali Suleiman kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Haroun Ali Suleiman kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Tabia Mwita Maulid kuwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo  katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Lela Mohamed Mussa kuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Rahma Kassim Ali kuwa Waziri wa  Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Abdalla Hussein Kombo kuwa Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Dk.Soud Nahoda Hassan  kuwa Waziri wa Kilimo,Umwagiliaj,Maliasili na Mifugo katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Simai Mohamed Said  kuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali   katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Uchumi na uwekezaji katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Riziki Pembe Juma kuwa Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Masoud Ali Mohamed  kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Dk.Khalid Salum Mohamed kuwa Waziri  Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Jamal Kassim Ali kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango  katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu
  • Baadhi ya Viongozi walioalikwa katika Hafla ya kuapishwa kwa Baraza la Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Awamu ya nane lililoapishwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Uchumi na uwekezaji.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Uchumi na uwekezaji.
  • Baadhi ya Viongozi katika Idara mbali mbali za Serikali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri wa Baraza la Mapinduzi Awamu ya Nane katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).[
  • Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri wa Baraza la Mapinduzi Awamu ya Nane katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar


Comments

Popular posts from this blog

JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI