Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Awaapisha Mabalozi Wateule 13 Ikulu Jijini Dar es Salaam Tarehe 27 Julai, 2021


FacebookShare
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Meja Gen. Richard Mutayoba Makanzo kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Masoud A Balozi,  kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje, Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bi. Swahiba Habibu Mndeme, kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Ulaya na Amerika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bi. Maulidah Bwanakheir Hassan, kuwa Balozi Ofisi ya Rais Ikulu
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Mabalozi 13 aliowaapisha Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wateule mara baada ya kuwaapisha Mabalozi hao.
                                                                       PICHA NA IKULU

Comments

Popular posts from this blog

JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI