ZIARA YA RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI MKOA WA KASKAZINI.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) wakati alipokuwa akizungumza na baada ya Wafanyabishara na Wananchi wa Kijiji cha Kinyasini Wilaya ya Kaskazini"A" akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo.

  • Wananchi na Wafanyabishara wa Kinyasini Wilaya Kaskazini"A" wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati alipokuwa akizungumza nao leo mara baada ya kuelezwa Changamoto zao akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo.
  • Wananchi wa Kinyasini pamoja na Wafanyabiashara wakisimamisha msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kuelezea Changamoto zao mbali mbali zinazowakabili ili waweza kupata ufafanuzi wake kwa Rais alipofanya Ziara katika Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati)alipokuwa akizungumza na baada ya Wafanyabishara na Wananchi wa Kijiji cha Kinyasini Wilaya ya Kaskazini "A" akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo.
  • KAIMU Mkurugenzi wa Baraza la Mji Kaskazini" A" Dk. Hamid Juma Saidi alipokuwa akitoa ufafanuzi wa Changamoto mbali mbali zilizotolewa na Wananchi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokutana na Wananchi hao leo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo.
  • Baadhi ya Wananchi waliofika wakati Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ulipofika maeneo ya Kinyasini Wilaya ya Kaskazini "A" wakisikiliza Changamoto zilizotolewa na Baadhi ya Wafanyabiashara ili zimfikie Rais alipokuwa katika ziara yake Leo katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  • Baadhi ya Kinamama Lishe hawakuwa nyumba katika kueleza changamoto zao kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ambapo waliomba kupatiwa mikopo waweze kuendeleza na kukuza mitaji yao wakati wa ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja katika kutmbelea miradi mbali mbali ya maendeleo 
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akitoa nasala zake kwa waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Msikiti wa Ijitimai Kidoti Wilaya Kaskazini "A" Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara ya Mkoa huo inayoendelea ndani ya Mkoa huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa tatu kushoto) akifungua pazia kuashiria kuweka jiwe la Msingi Msikiti wa Ijitimai Kidoti Wilaya Kaskazini "A" Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara ya Mkoa huo inayoendelea ndani ya Mkoa huo (kulia) Amiri Ali Khamis.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Chaani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa Madarasa mapya manane ya Skuli hiyo.
  • WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi ya Chaani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) baada ya kuwafungulia rasmin madarasa yao mapya manane ya Skuli hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Chaani baada ya kuyafungua Madarasa manane mapya ya Skuli hiyo,akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazinin Unguja na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi wakati wa Meneja Mkuu wa Hoteli ya Riu Palace Zanzibar Ndg.Hamad Zaied akimkabidhi Komputa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Msingi ya Chaani Bi.Latifa Masoud Issa, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Madarasa manane mapya ya Skuli hiyo yaliojengwa na kukamilika kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli hiyo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na (kulia kwa Rais)Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.

Comments

Popular posts from this blog

JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI