ZIARA YA RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI MKOA WA MJINI MAGHARIBI.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) wakati alipokuwa akizungumza Wananchi wa Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi 'B"wakati alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi.

  • Baadhi ya Wananchi Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi 'B" wakinyanyua mikono kumuunga mkono Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao leo wakati alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Baadhi ya Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi wakati wa uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa kazi kwa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kabla ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo
  • Mwananchi wa Shehia ya Welezo Bw. Ameir Ismail Hassan alipopkuwa kielezea kero ya kutopatikana kwa huduma ya Maji Safi na Salama katika Shehia hiyo leo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipotembelea Vianzio vya Maji Safi na Salama vya Welezo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo
  • Mwananchi Khamis Ali Haji aliyetoa malalamiko mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yanayohusiana na Mgogoro wa Adrhi wakati alipotembelea Vianzio vya Maji Safi na Salama vya Welezo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo 
  • Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM walioshiriki katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyowasilishwa katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo 
  • Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali mbali wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi Iliyowasilishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisikiliza taarifa ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (kushoto) alipokuwa akiisoma ndani ya Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kuhusu utekelezaji wa kazi mbali mbali kwa Mkoa wake wakati wa ziara ya iliyoanza leo kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo ndani ya Mkoa huo 
  • Viongozi mbali mbali wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi Iliyowasilishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo 
  • Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali mbali wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi Iliyowasilishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo 
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Wananchi wakati alipotembelea Vianzio vya Maji Safi na Salama vya Welezo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo 

Comments

Popular posts from this blog

JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI