ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR WILAYA KUSINI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Mhe.Rashid Makame Shamsi alipotembelea Skuli ya Sekondari ya Mtule akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipotembelea Mashine ya Maji Mtule katika mradi wa Maji Kijiji cha Kitogani Muungoni akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) alipotembelea maonesho ya vikundi mbali mbali wajasiria mali vya Wilaya ya Kusini yaliyofanyikla leo katika Kijiji cha Paje akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiuliza suala kwa Bi Mwanaisha Makame wa kikundi cha Furahia Wanawake Group kinachojishuhulisha na utengenezaji wa bizaa mbali mbali za zao la mwani katika Kijiji cha Paje akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) alipofuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid (kushoto) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe.Simai Mohamed Said wakati alipotembelea Skuli ya Sekondari ya Mtule akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja.Madaktari na wahudumu wa Hospitali ya Wilaya Makunduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipozungumza nao akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguj

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) alipokuwa akimsikiliza Waziri wa Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawalabora pia Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe.Haroun Ali Suleiman(kushoto)alipokuwa kitembelea Chuo cha Mafunzo ya Amali Kisogno Makunduchi leo akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid. 

 PICHA NA IKULU ZANZIBA

Comments

Popular posts from this blog

JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI