MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE. KAMALA HARRIS, IKULU YA MAREKANI JIJINI WASHINGTON TAREHE 15 APRILI, 2022

 

Facebook

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris mara baada ya kuwasili Ofisini kwake katika Ikulu ya Marekani White HouseWashington  tarehe 15 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati wakizungumza na Wanahabari katika Ikulu ya Marekani White House Washington tarehe 15 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyeji wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati akiangalia mandhari ya Majengo ya Ofisi za Ikulu ya Marekani mara baada ya kuzungumza na Wanahabari katika Ikulu hiyo ya White House Washington tarehe 15 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Serikali ya Marekani ulioongozwa na Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris katika Ikulu ya White House Washington tarehe 15 Aprili, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris mara baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Tanzania katika Ikulu ya Marekani Whitehouse nchini Marekani leo tarehe 15 Aprili, 2022
.

Comments

Popular posts from this blog

JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI