Siku ya Kwanza ya Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kagera Tarehe 08 Juni, 2022


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kata ya Bwanga Wilaya ya Chato Mkoani  Geita alipokua njiani akielekea Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu inayoanza tarehe 08 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa  Geita alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Geita alipokuwa akielekea Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu inayoanza tarehe 08 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wasanii wa Vikundi vya ngoma mbalimbali alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Geita, alipokuwa akielekea Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu inayoanza tarehe 08 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi pamoja na Wananchi wa Biharamulo Stand alipowasili Mkoani  Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu inayoanza tarehe 08 Juni, 2022.
.
.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Muleba tarehe 08 Juni  2022. Mhe. Rais Samia ameanza  ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Kagera kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi.
.
.
.
.
.
.
.

Comments

Popular posts from this blog

JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI