Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki katika Mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani Jijini Washington Marekani


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (Kulia) akisikiliza kwa makini Hotuba ya Rais wa Marekani  Mhe. Joe Biden (Kushoto) alipokua akizungumza na Viongozi wa Afrika katika ukumbi wa Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani tarehe 15 Desemba 2022

 




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera ndani ya ukumbi wa Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani wakati wa mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani unaoendelea tarehe 15 Desemba 2022

 


 

Comments

Popular posts from this blog

JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI