SERIKALI IMEENDELEA KUIMARISHA URATIBU WA DHANA YA AFYA MOJA NCHINI

Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dkt. Andrew Yona Kitua akizungmza wakati wa mkutano wa wadau wa Afya Moja.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Kituo cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura Bw. Prudence Constantine akifungua Mkutano wa Maafisa Viungo wa Afya Moja kwa ajili ya Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za Afya Moja kwa mwaka 2022 uliofanyika tarehe 13 Desemba, 2022 katika Ukumbi wa mikutano hoteli ya Edema Mkoani Morogoro.

 



Mratibu wa Afya Moja Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt.Baltazar Leba akichangia jambo wakati wa Mkutano huo.

 


Mshauri Elekezi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) Bi.Peragia Muchuruza akichagia hoja wakati wa mkutano huo.

Mtaalam Mshauri wa Afya Moja kutoka Taasisi ya RBA Initiative (Roll Back Antimicrobial Resistance Initiative) Bw. Harrison Chinyuka akiongoza mkutano wa wadau wa Afya Moja

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzania Mission for Illiteracy and Poverty Alleviation (TAMIPA) Bw. MARTIN Ashel akizungumza wakati wa mkutano huo.

Mtaalam wa Epidemiolojia kutoka Shirikia la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Dkt. Niwael Mtui akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.

 


Mratibu wa Mradi kutoka RBA Initiative (Roll Back Antimicrobial Resistance Initiative Bw. Michael Mosha akiwasilisha mada wakati wa mkutano wadau wa Afya.

 

 


Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Kituo cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura Bw. Prudence Constantine (Katikati mwenye Suti nyeusi) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano wa Maafisa Viungo wa Afya Moja kwa ajili ya Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za Afya Moja kwa mwaka 2022 uliofanyika tarehe 13 Desemba, 2022 katika Ukumbi wa mikutano hoteli ya Edema Mkoani Morogoro.

 


 

Comments

Popular posts from this blog

JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI